Mafunzo tunayoyapata kutoka shuleni yanatusaidia kutupa maarifa na msingi wa kutusaidia kutuongoza katika kuelekea maisha yetu nje ya shule au maisha yetu ya kila siku. Ukuaji wa mtu unachangiwa sana na fursa anazojipa katika kujifunza mambo mapya, kujifunza huku kunagunduliwa kutokana na maswali ambayo...