Sunday 12 April 2015

Salamu ya Mwezi April

Jambo la kwanza
Simamia mawazo na shughuli zako kwa ufanisi wa hali ya juu

Jambo la pili
Kila unachokifanya kifanye kiwe na muonekano tofauti na ambavyo wengine wamezoea kukifanya kwa kuhakikisha kinaleta manufaa kwako pamoja na jamii inayokuzunguka


0 comments:

Post a Comment