Thursday 30 April 2015

Zingatia Haya Ili Uifanye Siku Yako Bora

Mafanikio yako hayatokei siku moja, bali ni muunganiko wa siku nyingi ambazo umeishi kwa mafanikio.

Daima usiruhusu watu waiharibu siku yako kwa kuleta matatizo yao katika siku yako kwa njia yoyote mfano kwa kukuudhi. 

Unatakiwa uachane nao na uwe bize kufanya siku yako iwe bora zaidi

0 comments:

Post a Comment