Be a Billboard for Hope
To live victoriously in our everyday lives, one thing we definitely need is hope. Hope is the happy and confident anticipation of good. It is the belief that something good is about to happen at any moment! And it’s a great place to hang out in your everyday life! Resist the temptation to look at what you have lost or don’t have and choose to look at all that God has done, is doing, and will do. When you do, hope will come alive, joy will increase, faith will grow, and activity will increase. - Joyce Meyer
Katika maisha yetu ya kila siku kitu kimoja cha pekee kikubwa tunachokihitaji ni tumaini. Tumaini ni kitendo cha imani kinachoambatana na furaha pamoja na ujasiri wa kuwa mambo mema yatatokea kwako wakati wowote.
Mara nyingi tumaini hupotezwa kwa kuangalia ni vitu gani tumepoteza au hatuna badala ya kutathmini mambo ambayo Mungu ameyafanya , anayafanya na ataendelea kuyafanya kwa ajili ya maisha yetu ya kila siku.
Tumaini huwa hai, furaha huongezeka , imani hukua na hamasa ya utendaji huongezeka ikiwa tutashinda jaribu la kutazama yale tuliyopoteza au ambayo hatuna
Kuwa Bango la Matumaini
Related Posts:
Aina Tano (05) za Uwekezaji Zinazoweza Kubadili Maisha Yako Ili kuweza kuwa na utajiri endelevu katika maisha yako na unaojitosheleza ni muhimu ukawa mwekezaji. Uwekezaji upo wa aina nyingi. Hapa ninakuletea aina za uwekezaji unazoweza kuzifanya ili kukuwezesha wewe na wale watu wako… Read More
Jinsi ya Kukabili Changamoto za Uandishi Katika Blogu Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Pasipo kutegemea lugha gani unaitumia katika uandishi wa makala ambazo unaziweka katika blogu yako, bado suala la uandishi lina cha… Read More
Uchambuzi Kitabu cha " DIFFICULT CONVERSATIONS - HOW TO DISCUSS WHAT MATTERS MOST" Kuna wakati mada ambayo unahitaji kuzungumza na hadhira kuwa na ugumu katika uwasilishaji. Na hii hupelekea kuleta hata hofu kuona kama mahusiano yako na hadhira kuweza kubadilika. Changamoto hii huonekana hasa katika mada … Read More
Uchambuzi wa Kitabu cha " SECRETS OF SELF MADE MILLIONAIRE" Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Mwandishi na mjasiriamali Adam Khoo kupitia kitabu hiki cha Secrets of Self Made Millionare, anatushirikisha mbinu mbalimbali amb… Read More
Hatua Saba (07) za Kukusaidia Kuelekea Uhuru wa Kifedha Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki kila mtu anapenda kuishi katika hali ya kuwa na kiwango cha fedha kinachoweza kuhudumia mahitaji yale ya muhimu na kufanya… Read More
0 comments:
Post a Comment