DELIVER MASSIVE VALUE
Money is a convenient symbol that represents and measures the value of goods and services exchanged between people.
The keyword here is VALUE. It's value that determines your income.
The Law of Income states that , you will be paid in direct proportion to the value you deliver according to the market place.
The reason most people are broke is that they don't deliver a lot of VALUE in the eyes of current market place.
The important element here is DELIVER.
Many people have good ideas, good intentions, even produce good products and services, but either their values is not considered very valuable in the today's market place, or they just don't deliver enough of it. It's simple if you don't deliver a lot, you don't get paid a lot
~ T Harv Eker
Fedha ni alama inayotumika kuwasilisha na kupima thamani ya bidhaa na huduma ambazo watu hubadilishana.
Unalipwa kutokana na kiwango cha thamani thamani ambayo unayoleta katika soko husika.
Unaweza ukawa na mawazo mazuri, nia nzuri hata bidhaa au huduma nzuri pia lakini kiwango cha utoshelevu wa thamani unayoleta katika soko ndicho kinaamua malipo utakayoyapata.
Mambo makubwa mawili ndiyo husababisha kutofanikiwa katika biashara ni aidha thamani ya hicho unachotoa au kiwango cha thamani si toshelevu
Siri Kubwa ya Biashara ni Kuzalisha Thamani Toshelevu
Related Posts:
Namna Bora ya Kugawa Mapato YakoWakati unapopokea mapato/mshahara wako ugawe katika makundi haya 5 : a) Sadaka Kundi hili la fedha utalitumia kwa kufuata imani yako. Mara nyingi huwa ni asilimia kumi ya mapato. b) Matumizi Kundi hili la fedha ni kwa a… Read More
Hatua Saba (07) Muhimu Za Kukamilisha Malengo Yako Makubwa Watu wengi hufikiri kuwa na lengo lilio fasaha pamoja na kuwa na mtazamo chanya kuhusiana na ukamilishaji wa lengo ndio msingi mkuu wanaohitaji ili kuweza kuwa na furaha pamoja na kufanikiwa. Lakini kumbe hata kabla hujaanza… Read More
Falsafa ya Jinsi ya Kuishi Maisha ya MafanikioMambo ya msingi niliyojifunza kutoka katika kitabu cha My Philosophy for Successful Living kilichoandikwa na Jim Rohn. Hiki ni kitabu kifupi sana ambacho ukikisoma utagundua muda uliotumia ni uwekezaji bora ambao umefanya kat… Read More
Mambo 17 niliyojifunza katika kitabu cha SPEED WEALTH Mambo niliyojifunza kutoka katika kitabu cha SPEED WEALTH kilichoandikwa na T Harv Eker 1. Ili uweze kufanikiwa na kuchomoza katika mafanikio unahitaji kumiliki biashara, ukitumia njia ya ajira ya kuwa umesoma ,umepata… Read More
Mambo 13 ya kuzingatia katika kuelekea mafanikio 1. Watu wengi wanofanikiwa sio kwamba wana ujuzi au uwezo kuzidi ambao unao bali ni kiwango cha maarifa walochonacho ndicho kinatofautisha. Ni muhimu kuwa na hamu na kiu kubwa ya kupata maarifa yanayohusu eneo unalotaka … Read More
0 comments:
Post a Comment