Katika jambo lolote unalofanya unahitaji kuwa na ujasiri ili uweze kuwa na nguvu au stamina ya kuweza kulileta katika uhasilia(kulikamilisha) bila kujali vikwazo utakavyokutana navyo njiani.
Zifuatazo ni njia au namna ambavyo unaweza kuujenga ujasiri:
1. Shauku (passion) uliyonayo kulitekeleza jambo husika
2. Fahamu mambo ambayo una uwezo wa kufanya vizuri (strength zone) na uyafanye hayo kwa sababu tu ndiyo mambo ambayo utayafanya vizuri na Acha kufanya mambo usiyo na uwezo wa kuyafanya vizuri (weakness zone) kwa sababu hutayafanya vizuri na hauturuhusu mifumo iliyopo ikusaidie katika hayo maeneo usiyoyaweza
3. Fahamu lengo la wewe kuishi au kusudi ambalo Mungu anataka ulitimize (purpose of life) kwa wewe kuwepo hapa ulimwenguni
4. Unahitaji kuwa na utii (obedience) kutimiza lile kusudi ambalo Mungu anataka ulitimize kwa wewe kuwepo hapa ulimwenguni
Kwa kifupi ujasiri unazalishwa hivi:
Shauku + Ushupavu + Kusudi + Utii = Ujasiri
au
Passion + Strength + Purpose + Obedience = Confidence
Je, Umepoteza Ujasiri (Confidence)?
Related Posts:
Hatua 6 za Kuwalea Viongozi Watarajiwa (Chipukizi) Habari na karibu ndugu mpenzi msomaji wa blogu hii. Ni matumaini yetu umekuwa na wiki ya mafanikio sana. Ni dhahiri umekuwa ukipata mlo kamili wa akili siku hadi siku kupitia blogu hii. Ninachopenda kukuhamasisha jitahidi ka… Read More
Hii Ndiyo Njia Pekee ya Kutatua Matatizo Yako Yote Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 … Read More
Kanuni Sita(6) Muhimu Za Kushinda Tatizo Lolote Unalokutana Nalo. Matatizo mengi kamwe hayatatuliwi au hayadhibiti kwa ufanisi kutokana na kutoyapa uzito wa kutosheleza. Hakuna tatizo ambalo halina umuhimu kiasi kuwa hatuhitaji kujali kuhusu hilo tatizo. Mfano kwa mwanafunzi inawezekena ha… Read More
Jinsi ya Kuwaandaa Kuongoza Viongozi Watarajiwa (Chipukizi) Habari na karibu ndugu mpenzi msomaji wa blogu hii ya. Ni matumaini yetu umekuwa na wiki ya mafanikio sana. Leo nitazungumzia namna ya kuwaandaa watu wenye sifa za uongozi ambao umewatambua upo nao katika timu yako kati… Read More
Jinsi ya Kujua Kama Unachofanya Ni Sahihi Katika Maisha Yako Kila mtu anapokuja hapa ulimwenguni anakuwa amebeba maagizo maalum ambayo anatakiwa ayatekeleze kwa ajili ya kufanya ulimwengu kuwa sehemu bora ya kuishi. Njia nzuri ya kuweza kujua kile unachofanya kama ni sahihi ni kwa kuy… Read More
0 comments:
Post a Comment