1. Usitamani mambo yangekuwa marahisi, tamani ungekuwa bora mno
Don't wish it were easier; wish you were better
2. Usitamani ungekutana au ungekuwa na matatizo machache,tamani ungekuwa na ujuzi zaidi
Don't wish for less problem; wish for more skills.
3. Usitamani ungekutana na changamoto chache, tamani uwe na hekima zaidi
Don't wish for less challenges; wish for more wisdom.
Fanya Haya ili Ukue
Related Posts:
Uhusiano Uliopo Kati ya Malengo, Uwezo na Ukuaji WakoHabari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki kuna kipindi unaweka malengo na unakuta kadiri muda unavyokwenda unaanza kupata mashaka kama unaweza kuyatimiza au kuyaleta ka… Read More
Uchambuzi Kitabu cha " DIFFICULT CONVERSATIONS - HOW TO DISCUSS WHAT MATTERS MOST" Kuna wakati mada ambayo unahitaji kuzungumza na hadhira kuwa na ugumu katika uwasilishaji. Na hii hupelekea kuleta hata hofu kuona kama mahusiano yako na hadhira kuweza kubadilika. Changamoto hii huonekana hasa katika mada … Read More
Uandishi Sahihi wa Siku na Mwezi Katika Mwaka Habari rafiki mfuatiliaji wa makala mbalimbali katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Muda unaweza kuoneshwa kwa vipimo mbalimbali. Kipimo kidogo cha muda ni sekunde. Sekunde zikikusanyika na kufika idadi ya siti… Read More
Maana za Vibao Vya Namba Za Magari (Plate Number) Habari rafiki! Katika kila gari kuna sehemu mbili ambapo huwekwa vibao vyenye namba kwa ajili ya kulitambulisha gari husika. Vibao hivi huwekwa mbele na nyuma ya gari. Katika lugha ya kiingereza huitwa "plate number". Katik… Read More
Uchambuzi wa Kitabu cha ONE MINUTE MANAGER Habari rafiki yangu ambaye unaendelea kufuatilia makala katika blogu hii, wiki hii nilifanikiwa kusoma kitabu kinachoitwa One Minute Manager, hapa chini nimekushirikisha mambo ambayo nilijifunza na kuyanote ili kuweza kutusa… Read More
0 comments:
Post a Comment