Kama hali yetu ya hamasa ya kufanya jambo fulani haifanani/haiendani na jambo tunalohitajika kulifanya, moja kwa moja inapelekea kukosa hamasa ya kulitekeleza hilo jambo.
Kukosekana kwa hamasa kutapelekea kulihairisha hilo jambo na kusema litatekelezwa baadae au kesho n.k. Matokeo yake tutakuja kuhamasishwa na msukumo wa muda (time pressure).
Hamasa inayotokana na kufikia muda wa kuliwasilisha jambo (deadline) hupelekea utendaji mbovu kwa ujumla. Usisubiri mpaka uhamasishwe na muda ,jijengee nidhamu ya kufanya kila jambo ulilolipanga kwa wakati hata kama haujisikii kulifanya
Njia Rahisi Kuzuia Utendaji Mbovu
Related Posts:
Dondoo Tatu (03) Zitakazokusaidia Kupata Mada za Kuandika Katika Blogu Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki kati ya maswali yanayoulizwa na waandishi wanaanza kuandika (beginners) ni mada gani waichague kuandika makala katik… Read More
Uchambuzi wa Kitabu The Top Ten Distinctions Between Winners and Whiners Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Keith Cameron Smith ni mwandishi wa kitabu "THE TOP TEN DISTINCTIONS BETWEEN WINNERS AND WHINERS ". Keith anatushirikisha m… Read More
Vigezo Vitatu (03) Vya Kuzingatia Kabla ya Kupublish Makala Katika Blogu Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki kwa kila msomaji ambaye amechagua kutembelea blogu yako hakika ni fursa ya kipekee mno kwako, kwa sababu kwanza kati ya ma… Read More
Mbinu Tano (05) Zitakazomzuia Mteja Wako Kukasirika Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Unaposhindwa kukidhi mahitaji ya mteja sawasawa na matarajio yake, au mteja anapoona mtoa huduma anamkwepa au mteja anapokosa ush… Read More
Hatua Zitakazokusaidia Kukabili Changamoto Zinazokuzuia Kupata Mafanikio Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki unahitaji kufahamu haitatokea kuwepo kwa mtu ambaye ataishi au atapata mafanikio kwa ajili yako au kwa niaba yako. Mambo y… Read More
0 comments:
Post a Comment