Unapokosa lengo kubwa katika maisha yako kwa kutokujua nini hasa unahitaji na unakipataje, mara nyingi hupelekea kutegemea maoni au ushauri wa watu wengine zaidi katika kuamua kitu cha kufanya kwa ajili ya maisha yako badala ya kujenga msingi katika kutafuta taarifa za kweli zilizo sahihi.
Kwa kutokuwa na taarifa za kweli zilizo sahihi itakupelekea kuahirisha jambo kwa kusema unasubiri mambo yawe mazuri ndiyo uanze kufanya kitu kwa ajili ya maisha yako.
Chukua hatua sasa na anza hapo ulipo kwa kutumia taarifa hizo hizo chache za kweli zilizo sahihi na rasilimali ulizonazo ufanye jambo kwa ajili ya maisha yako na baadae kadiri unavyoendelea utapata njia bora iliyo na ufanisi wa kuleta matokeo mazuri zaidi.
Sumu ya Mafanikio
Related Posts:
Vigezo vya Kuzingatia Katika Ununuzi wa SmartphoneHabari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Kutokana na kuwepo watengenezaji mbalimbali wa smartphone, kumekuwa na changamoto ya kuzichagua. Mara nyingi nimekuwa nikiulizwa na m… Read More
Jinsi ya Kupata na Kuongeza Wasomaji Katika Blogu Yako Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki katika moja ya makala zilizopita nilikushirikisha kuhusu hatua nne ambazo zinafuatwa katika uandishi wa makala katika blogu.… Read More
Jinsi ya Kuzuia Kupoteza Makala Katika Blogu Yako (Backup)Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki makala unazoziandika kila siku ni muhimu zikahifadhiwa katika sehemu salama. Si vema sana kuacha zikawepo pale zilipo tuu kwa … Read More
Kanuni Kumi (10) za Huduma Bora Kwa Mteja Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Tafiti zinaonesha asilimia sabini ya sababu zinazosababisha kampuni kupoteza wateja zinahusiana kwa kiwango kidogo sana na bidhaa. … Read More
Namna Bora ya Kuandika Kichwa cha Habari (Title) Katika Makala Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki katika moja ya makala zilizopita nilikushirikisha kuhusu jinsi ya kukabili changamoto za uandishi katika blogu .Katika hiyo … Read More
0 comments:
Post a Comment