Ukifanya uchambuzi kwa kulinganisha kundi la "shughuli na fursa" na kundi la "muda na rasimali" utapata hitimisho ya kuona katika kundi la "shughuli na fursa" zipo nyingi kuliko kundi la "muda na rasilimali" tulizonazo kwa ajili ya kuwekeza.
Kitu cha kuzingatia ni kujua tofauti, kujifunza namna ya kuchuja na kuchagua "shughuli na fursa" chache kati ya "shughuli na fursa" nyingi ambazo ni halisi na zenye umuhimu ambazo zitaweza kukusogeza kufikia malengo yako katika maisha.
Fursa nyingi, Muda mchache na Rasilimali chache, Nifanyaje?
Related Posts:
Mambo 13 ya kuzingatia katika kuelekea mafanikio 1. Watu wengi wanofanikiwa sio kwamba wana ujuzi au uwezo kuzidi ambao unao bali ni kiwango cha maarifa walochonacho ndicho kinatofautisha. Ni muhimu kuwa na hamu na kiu kubwa ya kupata maarifa yanayohusu eneo unalotaka … Read More
Namna Bora ya Kugawa Mapato YakoWakati unapopokea mapato/mshahara wako ugawe katika makundi haya 5 : a) Sadaka Kundi hili la fedha utalitumia kwa kufuata imani yako. Mara nyingi huwa ni asilimia kumi ya mapato. b) Matumizi Kundi hili la fedha ni kwa a… Read More
Falsafa ya Jinsi ya Kuishi Maisha ya MafanikioMambo ya msingi niliyojifunza kutoka katika kitabu cha My Philosophy for Successful Living kilichoandikwa na Jim Rohn. Hiki ni kitabu kifupi sana ambacho ukikisoma utagundua muda uliotumia ni uwekezaji bora ambao umefanya kat… Read More
Aina Tano (05) za Uwekezaji Zinazoweza Kubadili Maisha Yako Ili kuweza kuwa na utajiri endelevu katika maisha yako na unaojitosheleza ni muhimu ukawa mwekezaji. Uwekezaji upo wa aina nyingi. Hapa ninakuletea aina za uwekezaji unazoweza kuzifanya ili kukuwezesha wewe na wale watu wako… Read More
Mambo 3 ya Msingi Kuhusu MalengoUnapoweka lengo lolote ni muhimu liwe limejengwa katika misingi ya mambo yafuatayo: Jambo la kwanza: Lengo liwe linahamasisha (inspiring) Jambo la pili: Lengo liwe linaaminika (believable) Jambo la tatu: Lengo… Read More
0 comments:
Post a Comment