Ni asili yetu kuwa na matumaini mema juu ya jambo fulani ambayo yamepitiliza uhalisia. Mfano tunadhani kuwa tutafanya mambo mengi kwa muda mchache kuliko inavyotakiwa kiuhalisia au kudhani jambo unalolifanya litachukua muda mchache kufanyika kuliko muda halisi ambao jambo husika linaweza kuchukua.
Kimsingi huwa tunasahau kufikiri katika uhalisia muda ambao jambo litachukua kwa kuzingatia uzoefu wetu wa awali. Tunaweka mkazo (focus) katika jambo hilo moja na kusahau kuzikusanya taarifa mbalimbali zilizosambaa ambazo zimetokana na uzoefu wetu katika utekelezaji wa jambo linalofanana au linaloendana nalo. Taarifa hizi zingetusaidia kuweka uhalisia na hivyo kutupatia uwekaji mipango bora iliyo halisi.Hii hutupatia matokeo ya uwekaji mpango hafifu au mbovu.
Uwekaji Mipango Usioaminika
Related Posts:
Salamu ya Mwezi AprilJambo la kwanza Simamia mawazo na shughuli zako kwa ufanisi wa hali ya juu Jambo la pili Kila unachokifanya kifanye kiwe na muonekano tofauti na ambavyo wengine wamezoea kukifanya kwa kuhakikisha kinaleta manufaa kwako pamoj… Read More
Zingatia Haya Ili Uifanye Siku Yako BoraMafanikio yako hayatokei siku moja, bali ni muunganiko wa siku nyingi ambazo umeishi kwa mafanikio. Daima usiruhusu watu waiharibu siku yako kwa kuleta matatizo yao katika siku yako kwa njia yoyote mfano kwa kukuudhi. … Read More
Kitu Hiki Kimoja Ni Muhimu Kuliko Kiwango Cha Fedha Unachotaka.Inawezekana umefika katika hatua ambayo unaona kama ungekuwa na kiasi fulani cha fedha basi matatizo yako yote ambayo yamekuwa yanakusumbua au yanakukabili bila kujali yana umri kiasi gani yangekuwa yamepatiwa ufumbuzi wa … Read More
Jambo Moja la Kuzingatia Ili Uwe Tajiri Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Kabla ya kit… Read More
Mbinu ya Kuishi Kila SikuAnza na kuimaliza siku vizuri kadiri inavyowezekana Begin and end each day properly… Read More
0 comments:
Post a Comment