Uwezo uliopo ndani yetu ni mkubwa sana kuliko kile ambacho tumeshakitendea haki kwa nafasi zetu tulizonazo kwa kutendea ulimwengu.
Maswali haya yatakusaidia kutafakari kitu gani ambacho unacho ndani yako bado hujakileta ulimwenguni kwa ajili ya kubadili hali ya sasa, maisha n.k
1. Mimi ni nani?
2. Kwa nini nipo hapa duniani/sehemu ulipo?
3. Nina uwezo kiasi gani au kwa kiwango gani?
4. Kitu gani ninao uwezo wa kukifanya?
5. Vigezo gani vinaweza kupima uwezo wangu?
6. Nani anaviweka au anapanga viwango (standards)?
7. Mchakato au mfumo gani naweza kutumia kuongeza uwezo wangu?
8. Nina mapungufu gani?
Ndani ya majibu ya maswali haya kuna msingi wa kuweza kutimiza maisha uliyokusudiwa kuishi, maisha ambayo yana ufanisi mkubwa.
Msingi wa kutimiza maisha yenye ufanisi
Related Posts:
Uchambuzi wa Kitabu cha "ACT LIKE A SUCCESS THINK LIKE A SUCCESS"Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Steve Harvey ni mchekeshaji maarufu sana ambaye ameanza fani hii kati ya miaka ya 1980. Pamoja na fani hii ya uchekeshaji Steve amean… Read More
Mambo Matano (05) Yanayosababisha KushindwaHabari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki si wote wanajifunza kutokana na makosa wanayoyafanya au kutambua mapema makosa waliyoyafanya ili wasiyarudie. Kuwa na mwongozo… Read More
Faida Tatu (03) za Biashara Inayoendeshwa Kwa Intaneti Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki katika zama za viwanda (industrial age) bidhaa nyingi zilizokuwa zinauzwa zipo physical kiasili. Bidhaa hizi mpaka uzinunue … Read More
Uchambuzi wa Kitabu cha " EAT THAT FROG"Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Brian Tracy ni mwandishi wa kitabu cha "EAT THAT FROG". Brian ni mwalimu mwenye uzoefu sana katika eneo la mafanikio. Mambo mengi amb… Read More
Mambo Matano (05) Yaliyojificha Katika Mafanikio Yako Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki watu wengi wamekuwa wakipima mafanikio kwa kiwango cha vitu vinavyomilikiwa na mhusika. Kutokana na hili kunakuwa na maana m… Read More
0 comments:
Post a Comment