Tuesday, 29 November 2016

Shule Mbili (02) Bora Unazopaswa Kuhudhuria Katika Maisha

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki suala la kujifunza ni endelevu halina ukomo. Pale unapopata ukomo wa kujifunza maana yake unajiandaa na kushindwa. Mara baada ya kumaliza elimu ya darasani kamwe usikubali kufanya hitimisho la kusoma....

Monday, 28 November 2016

Jinsi Ya Kutambua Uwezo wa Kompyuta Yako

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki kompyuta ni kifaa ambacho kinachukua nafasi kubwa katika matumizi ya kazi mbalimbali katika zama hizi za habari. Kompyuta zina sifa mbalimbali kutegemeana na mahitaji ya kazi zinazokwenda kufanya. Hivyo...

Sunday, 27 November 2016

Namna Ya Kudelete File Katika Kompyuta

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki moja ya operation ambayo inafanyika mara kwa mara katika matumizi ya kompyuta ni delete. Delete hufanya kazi ya kufuta file lililopo katika sehemu au location katika kompyuta. Kuna namna mbili ambazo unazoweza...

Saturday, 26 November 2016

Uchambuzi Kitabu cha " THE COMPOUND EFFECT"

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Darren Hardy ni mwandishi wa kitabu cha THE COMPOUND EFFECT. Katika kitabu hiki mwandishi anatueleza siri kubwa iliyopo katika kufanya mambo hatua kwa hatua kidogo kidogo ili kufikia mafanikio. Hapa tunajifunza...

Friday, 25 November 2016

Njia Bora Ya Kukabili Changamoto Yoyote

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki maisha tunayoishi yana changamoto za aina mbalimbali. Changamoto hizi ni njia pekee ambayo kama utaiitumia vizuri itakusaidia kukusogeza hatua ya ziada. Katika makala ya leo napenda kukushirikisha namna...

Wednesday, 23 November 2016

Kwa Nini Unahitaji Kujifunza Jambo Jipya Kila Siku?

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki mabadiliko na ukuaji ni vitu viwili muhimu vyenye mchango mkubwa katika maisha tunayoishi kila siku. Maisha yanakua na ladha ambayo inatufanya kuendelea kuyafurahia kwa sababu ya mabadiliko na kukua. Kujifunza...

Tuesday, 22 November 2016

Monday, 21 November 2016

Tofauti Ya Matumizi Ya Copy na Cut

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Katika matumizi ya kompyuta kila siku kuna operations ambazo hufanywa mara kwa mara ili kukuwezesha kukamilisha kazi (task) uliyokuwa unaifanya. Kwa bahati nzuri teknologia hii imeenea sana mpaka kugusa pia simu...

Sunday, 20 November 2016

Uchambuzi wa Kitabu " LUNCHTIME TRADER"

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Marcus de Maria ni mwandishi wa kitabu cha THE LUNCH TIME TRADER. Katika kitabu hiki mwandishi ametueleza namna ambavyo unaweza kutumia muda ambao unautumia kwa ajili ya chakula cha mchana kukusaidia kupata mafanikio...

Saturday, 19 November 2016

Tofauti Kati Ya Save Na Save As Katika Programu Za Kompyuta

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Katika programu zinazotumika katika kompyuta , njia ya pekee ya kukulinda usipoteze kazi uliyofanya ni kusave. Katika kila programu maneno haya Save na Save As utayakuta katika menu ya File. Kwa kukuangalia maneno...

Friday, 18 November 2016

Thursday, 17 November 2016

Uchambuzi wa Kitabu cha " EAT THAT FROG"

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Brian Tracy ni mwandishi wa kitabu cha "EAT THAT FROG". Brian ni mwalimu mwenye uzoefu sana katika eneo la mafanikio. Mambo mengi ambayo Brian anatushirikisha ni yale ambayo amekuwa akijifunza, kisha anayafanyia...

Wednesday, 16 November 2016

Tuesday, 15 November 2016

Mambo Matano (05) Yanayosababisha Kushindwa

Habari rafiki yangu ambaye ni mfuatiliaji wa makala katika blogu hii ya Stadi za Mafanikio! Rafiki si wote wanajifunza kutokana na makosa wanayoyafanya au kutambua mapema makosa waliyoyafanya ili wasiyarudie. Kuwa na mwongozo kutasaidia sana kujua namna ya kuenenda katika mambo haya. Katika maisha ya...

Monday, 14 November 2016

Sunday, 13 November 2016

Saturday, 12 November 2016

Friday, 11 November 2016

Thursday, 10 November 2016

Wednesday, 9 November 2016

Tuesday, 8 November 2016

Monday, 7 November 2016

Sunday, 6 November 2016

Saturday, 5 November 2016

Friday, 4 November 2016